Acha uongo,usiongee vitu usivyovijua,mm nina washkaji zangu kibao ni maengeners,lawyers,accountants teachers allmost all professionals wamepitia kanembwa na bulombola wamehenya sana kwenye ukuruta na sasa hv wamekatwa mabogi ya mtabila,mgulani,mbweni,kimbiji na MMJKT wanasubiri usaili wa kwenda TPDF na baada ya.kuhenya todd kwa muda wa miezi minne ndi wengine wanaweza kubaatika kwenda minduli moja kwa moja au kwenda level three ya todf kabla ya kwenda monduli.jipange brother hakuna kwenda monduli moha kwa moja mpaka uhenye kwenye uzalendo,ukuruta na userviceman.for more info pm me
aiseee babayangu kama upo dar panda gar la mabati wakushuse monduli ipo pembezoni mwa barabaraniEbwana Nitafikaje Huko Minduli???????????????????????
DA kaz sana mkubwa ,ila kama wwe una fan ya udaktar na baadh engeneearing course huwa wanatangazaga nafasi na watu huenda mondul kusomea uafisa course ya nyota mbil,lakin kama wwe una fan ya kawaida unaanzia JKT kwa kujitolea miaka 2 ndo uende JW
Kwani washaanza kutoa form kwa hapa dar????
Fomu zinatolewa wapi nduguwalisha anza na mwisho tar 30/3/2015
Ahsante kwa analysis nzuri, umemwondoa tongotongo mtoa mada.
Utapata posho ya 50000 kila mwezi but itakatwa kulingana na michango itakayozukaSo huo mkataba Wa miaka miwili unalipwa???
Yahani mahana yangu hunapo hingi jkt,lazima hupate mafunzo ya miezi sita.ndipo hunafanya kazi ndani Jkt kwa mkataba wa miaka miwili.
sasa ndani ya hiyo miaka miwili jwtz huwa wana kuja kufanya interview kwa wahitimu wa jkt.so silazima hukae miaka miwili,hunaweza kukahaa hata miwezi miwili au hata miezi 21 hukapata hajila jwtz hinategemea na badget zao walizo panga.
nazani humenipata mkubwa