MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Bibi yako mwenye umri wa miaka 95 anatakiwa kufanyiwa surgery ambayo itagharimu karibia milion 15 Na wewe benki una takribani milion 16 ambazo umeanza kuziweka tangu 2010 je utalipa..?
Funguka
Funguka