Aixee sikushauri,sikuhizi mtu anaejitolea anaonekana km Hana maana kabisa,na mtu wakaribu alienda jitolea ,hapo njombe,aliowakuta wanasepa kaanza mmoja kakaa miezi mitatu,anapika kazi balaa Ila hata mia cheche,mwingine miezi sita hajapewa hata mia,siku anaondoka anawaaga hawajali kitu,wanamwambia kawasalimie huko,
Seriously mtu kajitoa miezi sita hammlipi hata kumpa hela ya maji hamna,na niwakike sasa mpaka akajiongeza akamwambia Mkurugenzi naomba hata hela ya njian ndo kumpa 20k napo kwa shida so kuwa makini unapoeenda naufanye uchunguzi,kunasehem zingine hakuna hata future