curry_atomic
Member
- Mar 30, 2020
- 57
- 48
Habariii wana familia.......mimi ni kijana nilie maliza masomo ya chuo kikuu cha dodoma Bachelor of information systems mwaka huu mwezi wa 8 wakati huu nikiwa nasubiria matokeo ya muhula wa mwisho nilikua natafuta sehem ya kujitolea kuimariasha taaluma yangu kupata experience na kujifunza zaidi jinsi kazi zinavyofanyika....nipo tayari kujitolea sehem yoyote nitakapopata nafasi
Nina ujuzi katika mambo yafuatayo
Database management system
Programming (Java, JavaScript,php(Laravel),c#)
Machine learning
Deep learning
Networking
Window server administration
Natanguliza shukranii
Nina ujuzi katika mambo yafuatayo
Database management system
Programming (Java, JavaScript,php(Laravel),c#)
Machine learning
Deep learning
Networking
Window server administration
Natanguliza shukranii