Kujitoa magamba na Kikombe cha babu Loliondo!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Wadau najaribu kutafakari kwa kina.......baada ya Viongozi wengi wa chama kilicho madarakani kwenda kwa nyakati tofauti kupata kikombe Loliondo imeibuka falsafa ya kupinga ufisadi uliokuwa sera zake, na kutamka hadharani wanajivua magamba sijui yepi......! Kuna taarifa rasmi alikwenda kupata kikombe kwa kusingizia anakwenda on a nyayo za watu wa kale......


kikombe kitasaidia taifa

Mch nilikuwa huko
 
Wadau najaribu kutafakari kwa kina.......baada ya CIO Gozo wengi wa chama kilicho madarakani kwenda kwa nyakati tofauti kupata kikombe Loliondo imeibuka falsafa ya kupinga ufisadi uliokuwa sera zake, na kutamka hadharani wanajivua magamba sijui yepi......! Kuna taarifa rasmi alikwenda kupata kikombe kwa kusingizia anakwenda on a nyayo za watu wa kale......


kikombe kitasaidia taifa

Mch nilikuwa huko
Tulisikia ulikuwa unamsaidia babu kwa karibu sana. so no doubt umeona sura za wavua magamba tele huko.
Kikombe naoana kinaibua mengi wavua magamba na sumu waitoe wawe wale wa kibisa ndio pataeleweka
 
Wadau najaribu kutafakari kwa kina.......baada ya Viongozi wengi wa chama kilicho madarakani kwenda kwa nyakati tofauti kupata kikombe Loliondo imeibuka falsafa ya kupinga ufisadi uliokuwa sera zake, na kutamka hadharani wanajivua magamba sijui yepi......! Kuna taarifa rasmi alikwenda kupata kikombe kwa kusingizia anakwenda on a nyayo za watu wa kale......


kikombe kitasaidia taifa

Mch nilikuwa huko

Mkakati uliopo Babu ataingizwa kwenye llani ya uchaguzi wa chama tawala na watajisifia kuwa wamemwezesha Babu wa Loliondo ili kila mwananchi apige kikombe na hili limezingatiwa chini ya Wizara ya Afya.
 
Long time!

Ufisadi sasa imekuwa hoja ya CCM, they are pretending as if they real mean it!

Hizi ni siasa na wanachofanya ndio hasa ushindani, However, we need other techniques za kupingana na huu uongo.

Kuhusu babu is just a coincidence hana mchango wowote kwenye kuvua gamba la CCM, CCM ili ibadilike inabidi ibatizwe!

I mean; izamishwe kwenye maji marefu na kufufuliwa upya...kisiasa ina maanisha iondolewe madarakani na itarudi kama watapata nafasi. CCM woote wachafu so there is no fisadi yule or fisadi huyu..in CCM is like saying fisadis all!
 
cheh teh cheh teh cheh teh!! nilisikia tetesi kuwa walimjadili babu dodoma juzi na wakajigamba eti dawa ya babu loliondo ilikuwa kwenye ilani yao, mie siiiimo.
 
Back
Top Bottom