Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

JAPUONY

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
383
Reaction score
186
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.
 
Na mie naomba ukuu WA wilaya he kuna MTU WA kumpiga makofi nikajitume?
 
Na Kingunge kwa umri wa zaidi ya miaka 82 aliahidiwa nini?

Hana maslahi tena CCM.Kama ni UBUNGO Kashatemwa.Alimtegemea Lowassa lakini sasa ndiyo hivyo tena. 1.Mimi naomba kuuliza kuhusu Msimamo wa Kingunge katika KATIBA PENDEKEZWA 2.Swali kwa Sumaye,Kingunge na Lowassa.Watuambie Je,Uchaguzi Mkuu wa 1995,2000,2005 na 2010 ulikuwa HURU Na wa HAKI??
 
Hatakama waliahidiwa,kama kiongozi lazima uwe na uelekeo wa watu wakufanya nao kazi,ili mradi wapo ktk mabadiliko hilo halina tatizo,hata akitutangazia leo timu yake ya kazi,tunachotaka mabadiliko ya mfumo.
 
we kama umeona kingunge alibebwa ubungo jiulize hiyo ndio dili pekee iliyofanyika ktk serikali ya ccm? kama sio hizo nyingine unadhani ndo zipo salama? think louder.
 
Akwendeee... Watajifagia wenyewe
 
Ndugu Wanabodi,

Suala la kujitoa kwa ndugu Mwapachu CCM na kudai Kuwa ati CCM siyo mamake, siyo suala geni. Wafukunyungu kama sisi tulilifahamu hili sikunyingi na tulisubiria litokee. Wengine bado wapo an watafuata siku si nyingi!

Kama alivyoeleza yeye binafsi, Mwapachu alikuwa ni TeamLowassa , Lowaasa akiwa bado yuko CCM. Mwapachu ni miongoni mwa makada wa CCM waliokuwa wakigawa fedha za Lowassa pale DODOMA. Mwapachu alikuwa ni miongoni mwa walioratibu msafara wa vijana waendesha bodaboda walioendesha pikipiki hadi Dodoma kumuomba EL agombee Urais. Ni Mwapachu huyu huyu aliandaa (kwa kushirikiana na Team Lowassa) CV za watakaowekwa katika nafasi mbalimbali mara EL atakapotinga Ikulu kupitia CCM.

kubwa zaidi na kilichofanya ajitoe CCM, Balozi Mwapachu ameahidiwa na aliahidiwa nafasi ya UWAZIRI WA MAMBO ya NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. Tunalifahamu hili na list nzima ya Walioahidiwa Ukuu wa Mikoa, Wilaya, Wizara, Ubalozi, na Ukatibu Mkuu ipo.

Ninachotaka kuwaambia ni kuwa hao wanaotoka CCM siyo kwa sababu wanataka MABADILIKO YA KWELI in kwa sababu wanafuata maslahi. Wanaotaka mabadiliko ha kweli walikuwa CDM tangu hata kabla ya uchaguzi mkuu kuanza. Kuweni makini mnaposhabikia wanaojiondoa CCM muda huu wa kampeni Zambia lala salama!

nawasilisha.

Toroka uje acha stor za abunuasi wewe wenzako wameshashtuka.
 
Mwanabodi,kama hilo mlikwishalijua bila shaka mnajua pia kuwa CCM imeishiwa pumzi katikati ya mlima mkali na haiwezi tena kwenda mbele isipokuwa kwa kishindo kikuu itarudi nyuma kwa kasi sana na kufa kabisa hapo 25.10.2015.
 
Hatakama waliahidiwa,kama kiongozi lazima uwe na uelekeo wa watu wakufanya nao kazi,ili mradi wapo ktk mabadiliko hilo halina tatizo,hata akitutangazia leo timu yake ya kazi,tunachotaka mabadiliko ya mfumo.
Mabadiliko yepi ya kimfumo utayapata kutoka kwa wana mtandao? Nyie watu zishughulisheni akili zenu msiwe mashabiki tu. Hilo liko wazi Lowassa was here kuendeleza mtandao uliotutesa hapa kwa miaka 10 sasa.
 
Katika watu wanaosubiri kupanda kizimbani ni mwapachu huyu ndiye alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la reli wakati linauzwa kwa wahindi. Huyu ndo tutamhoji alipeleka wapi vichwa vya treni vya mkanada.

Alivyokuwa katibu wa afrika mashariki alifanya kampeni ya kuuza ardhi yetu kinyemela akishirikiana dr.kamala, isingekuwa mzee sitta tungekuwa tumeshaingizwa mkenge na hiki kibabu.
 
Back
Top Bottom