K kataleya JF-Expert Member Dec 9, 2012 223 52 Mar 11, 2014 #23 kanyumiza said: maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo Click to expand... bila shaka ulipata F' ya kiswahili
kanyumiza said: maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya marumbano kuhusu vyuo Click to expand... bila shaka ulipata F' ya kiswahili
B bummy Member Mar 10, 2014 40 8 Mar 11, 2014 #24 Hakuna chuo kibaya wala kizur cha msingi umetoka na nn kichwan...
mke wa mkuu JF-Expert Member Dec 19, 2013 634 277 Mar 11, 2014 #26 Naona una asili ya kikuria maana mleta mada kaboronga kiswahili dahh chuo furani badala ya chuo fulani. Kuangaria baadala ya kuangalia
Naona una asili ya kikuria maana mleta mada kaboronga kiswahili dahh chuo furani badala ya chuo fulani. Kuangaria baadala ya kuangalia