Kujitamburisha mwanachama mpya

Kujitamburisha mwanachama mpya

condoliza

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Hodi wanajamii: Napenda kujitambulisha kama mwanachamna mpya. Naomba mnipokee kwa mazito matatu.
 
mazito matatu

1:kwa nn hali imekua ngumu
2:kwanini uha kiki hauja enda jeshi la wananchi
3:tupe ukweli juu ya scopion na said

mazito yako hayo apo jibu
 
1. Lile container la MSD lilokuwa linatoka Keko kwenda Muhimbili kwa miezi3 limefikia wapi?
2. Kwanini Baba J hajaonyesha Salary Slip yake mpaka leo hii?
3. Kile Kivuko MV Dar es Salaam kitaanza lini trip zake za Dar to Bagamoyo?
 
Back
Top Bottom