habari wanaJF
mnamo 2008 nlikuwa pale tazara training nikaona wafanyakazi pale wakinawa kutumia mchanga. i tried it and viganja vyangu vilikuwa really smooth for a while. leo nimekuwa nikijiuliza kama ule mchanga ni 'special' for cosmetic au just ordinary. kuna yoyote anayeweza kunisaidia kwa hili
Yap kuna mchanga ambao unaweza kuutumia for cosmetics, hasa kwa kuscrub ngozi ya miguu, unyayo na viganja. Huu huwekwa hata kwenye scrub pads kwaajili ya kusugulia miguu.
Walikua wanatawadha? Huwa inaruhusiwa kidini nasikia.
Niliwaonaga wale waandamanaji wa Ponda walioandamana kwenda mambo ya Ndani, ulipofika muda wa kuswali, walitumia mchanga.