moja ya sababu dhb ilikufa ilikuwa ni hiyo
na kuhusu arusha
zilikuja thread hapa nyingi zenye kuashiria hayo
kuna thread moja mdada alilalamika kuwa wakaka wa jf walikuwa
kama wanawadhalilisha hivi,
walikuwa wanawatongoza na kuchukua namba za simu wazi wazi
akitoka huyu anakwenda kwa yule
yaani heshima haikuwepo
ukichanganya na pombe
pata picha
The Boss, member wa JF Arusha wanatusoma hapa.
Naona haya, naona vibaya...
Kama ni kweli hayo yametokea, na yalipata kuandikwa
naomba tukaifukue hiyo thread (topic)
Otherwise tutakuwa hatuwatendei haki kina kiongozi PJ,
na kundi lake.
Binafsi ningetamani Get Together ya JF members nasi tujipendelee.
Ila kwa maneno uliyoyaelezea mnh...ngoja kwanza...
Mbu............hapa natetemeka hadi utumbo.siamini hiki kitu kabisa but kea kuwa The Boss amesema kuwa wadada wa JF arusha!! walikuja kulalamika humu ingekuwa vizuri kama angetuwekea link ya thread hiyo. Dah am holding my pressure kwa kweli. Najiuliza mbona leo kwangu imekuwa hivi?? I started my day happier, then came Dinnah,,,and now this..........I think I need my rest....phweeeeeeee
Wewe una mtritigi? kwa kweli mambo kama haya yanaongeza sana mapenzi basi tu hatujagundua, i wish ......
Nakubaliana nanyi kwa 75% na wakati huo naomba mashost mkae kimya (bila kutype wala kuclick) kwa muda wa dakika moja kuwakumbuka jamaa zangu (hasa wanaume) waliopoteza wapenzi wao kwa kuwapeleka mazingira hayo hayo na kwa nia hiyo hiyo na mwisho wa siku kugundua kwamba walifanya kosa kuwaintroduce wapenzi wao kwenye raha ambazo wanaweza kuwapa mara moja tu kwa miaka na wakati huo huo kuwakutanisha (bila kujua) wapenzi wao na jamaa wenye EPA zao wanaojua na kuweza kuwapeleka madada hao huko mahala mara mbili kila wanapohitaji kwenda mara moja.
Hamuwezi kuamini haraka lakini baadhi ya jamaa hawa wamelaumiwa na jamii zao kwa kosa la kuwapeleka wake zao wapendwa kwenye starehe ambazo ziko mbali nje ya uwezo wao, jambo ambalo limefananishwa na kuwapeleka sokoni kuuzwa.
Hivi mashost hamjui baadhi yenu mna uzuri wa kutukuka kiasi cha jamii kudhania hao waume zenu ni chini sana ya kiwango mlichostahili? Wanaume tuna kazi sana! Wapenzi wengine tunawapata vijijini na kuwapamba ili wasijihisi kupuuzwa wanapojilinganisha na wenzao wa town lakini baadaye inakuja kuonekana ni wazuri mno kuwa wake zetu so wanaojidhania wanastahili wanatupora kwa EPA na RICHMOND zao. Please Beautiful Ladies, have mercy on us.
Shauri yako we jifanye tu hapo upigwe banleo ningesutwa leo naona haa haa haaaaaaaa lol
mj01 umeiona link hiyo????????????/
mnnnnhh!...Analyst kwakweli hapo kwenye red ni jipu unalostahili ukamuliwe mpaka kiini kitoke!
Yule wa mbele ndio aliamua kuvaa suit kabisa kwendea mbugani? lol...am in the same boat sweetheart,...yaani lililokuwa wazo zuri la Gaga limenitumbukia Nyongo!
Ni tuhuma nzito sana hizi kwa JF, hususan waliojumuika hiyo safari ya Mbugani.
...ngojea, usilale kwanza...
hiii hapa but nahisi waliiifunga sijui kwa nini
najaribu ku google siipati vizuri
but ushahidi huo
Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba! - Pageleo ningesutwa leo naona haa haa haaaaaaaa lol
mj01 umeiona link hiyo????????????/
Shauri yako we jifanye tu hapo upigwe ban
Shauri yako we jifanye tu hapo upigwe banhe he he we acha tu wangu
wameniambia niwaletee link halafu hiyo link nikawa siioni
nikasema leo kidume nasutwa lol
hapa nimepumua mno lol ha ha haaaaaaaa
Pole jasho la kwato limekutokahe he he we acha tu wangu
wameniambia niwaletee link halafu hiyo link nikawa siioni
nikasema leo kidume nasutwa lol
hapa nimepumua mno lol ha ha haaaaaaaa
Yule wa mbele atakuwa sijui nani wallah au ndio wakuu wa safari haoAHA HA HAA HAA HHAA ....wee Gaga wewe, duuuhh...LOL
I know...! I know.....! Mkuu unaniona nimekosa self confidence au siyo? It is just the way nimeamua kuipresent. Ningeanza kuzunguka ooh jamaa wanakuibia utadhani wewe hufai isingeonekana haraka kama ulivyoiona. At least I guess so.... Kama huamini yanatokea haya hapa nchini anza utafiti wako upya utagundua.
na huyo dada hapo mwenye kitenge sijui ni lizzy au preta si wa arusha walikuwa wengi sana?Yule wa mbele ndio aliamua kuvaa suit kabisa kwendea mbugani? lol