Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky:
msinishambulie jamani:madgrin:

Hii ni kweli kabisa inatokea sana...:becky::becky::becky:Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky:
msinishambulie jamani:madgrin:
...jamani mara moja moja kujipendelea muhimu. Hizi Romantic Retreats zinasaidia kupunguza usongo wa mawazo kwa wanandoa. Hakuna cha kusema '...Ooh, mambo ya wazungu hayo!'...Picha zote hizi ni Sehemu zilizopo Tanzania.
Kwa wale wenzangu na mie ambao tukishanuniwa ndio 'hakieleweki mpaka anunuliwe khanga,' si vibaya tukajitutumua na kum-surprise mother house na bonge la week end 'Romantic' retreats kama hizi angalau mara moja kwa mwaka jamani...
...au sio wazee wenzangu? ...mamsapu wetu deserve to be treated like Queens.
Haipendezi eti mkishaoana , outings zinabakia zile mkihudhuria harusi (tena kwakuwa mlichangishwa!,) au Family Day za makazini!...Na nyie kina dada na kina mama, msizubae jamani. Nyumba ndogo wanawapiga bao, Ohoo...shauri zenu!
Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky:
msinishambulie jamani:madgrin:
Hahahahah lol! MR zipo sana hizo! We Baba nanihii lakini huku sikufuja hela? Kile kibanda tutamaliza lini? Hii hela tunayotumia hapa ni sawa na mifuko mingapi ya saruji!?.....Kujirusha mwiko mpaka kibanda kiishe!!!
<font face="Lucida Sans Unicode"><font color="sienna">Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah<br />
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu
msinishambulie jamani
hahaha sikutarajia kucheka leo
Kama namuona atakavokenuaHii ni kweli kabisa ngoja nijitahidi kumfanyia my wife siku moja
Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky:
msinishambulie jamani:madgrin:
Eeeeeeee kani we ni MR?<font face="Lucida Sans Unicode"><font color="sienna">Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah<br />
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu
msinishambulie jaman
hahaha sikutarajia kucheka leo