abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
msikilize kwa dakika kama 12 bila kutia neno zaidi ya kuitika "mmm, eeeeh, sawa, kumbee....", halafu baada ya dakika hizo onesha kushtuka na kumtazama usoni mwambie sikuwa na nasikiliza unasema nini, ebu rudia tangu mwanzo....., akianza kurudia wewe endelea kufanya mambo yako, na baada ya muda tena wa dakika kama 10 mwambie samahani nilihama tena kidogo, ebu rudia.....
Amin nakwambia, atanyanyuka na kwenda zake....
akiongea muda wote muonyeshee uso wa mbuzi na usionyeshe kusupport!!Kuna jamaa mwenzenu nimekaa nae mtu mzima anajiongeleshaaa
af mtu mzima
anasema sema siri zake na mke wake
anajisifu sifu anafikiri mi namuona mjanja
kumbe ananiboa niko busy nachart
hebu nisaidieni
nimjibu jibu gani ambalo hata endelea kujisemesha semesha na asijisikie vibaya.