Kujifunza programming bila kwenda chuo

Smart, very smart
 
Adebayo!! I can feel
 
acha kukariri vitu wewe kuna watu wamejifunza vitu na wako vizuri kuliko hata waliopita chuo,usikatishe watu tamaa,ingekuwa watu wana mtazamo kama wako elimu isingekuwa inamwagwa mitandaoni.Kuna watu wamemaliza vyuo wanakuambia wamesoma CS na hamna kitu sasa unajiuliza wamefikaje hapo walipo.Unaungumzia algorithm kwani mtu awezi kujifunza algorithm kwenye mitandao??
 
Android developer java vs kotlin
Naona kwa sasa wimbi kubwa la watu wanakimbilia kotlin wanaachana na java alafu sasa hivi kotlin ndo primary language kwa android apps development
 
Mkuu share basi link
 
Mkuu share basi link
 
Mkuu share basi link
 
Uyo muongo hajui anachokiongea waanzalishi wa Instagram wote wamepitia stanford mmoja kasoma engineering management mwingine cs( AI) ushahidi nimeweka ,yy anakurupuka tu anakuja kuropoka hovyo humu.
Hivi We dogo unajua unachozungumza au ndio wale waku copy na ku paste utombo Google na Kuleta hapa?

Nipe Historia fupi tu ya Instagram and How it started mpaka inakuja kununuliwa na Facebook?

Kumbe napoteza mda kumuelewesha chizi...
 
Kwa Hii post inaonyesha Wewe ni Zumbukukuu Halafu utakua Ni Diploma mwaka wa Kwanza..... Zuckerberg Ali asisi Idea Halafu Nani Aka code?

Au kwa ulofa wako unafikiri Zuckerberg alienda Havard kusoma CS?
 
Toto Dogo Hili unapoteza Mda tu kubishana nalo....Lipo Diploma Mwaka wa Kwanza Basi bichwa Hilo Kila kitu linajua lenyewe
 
Kwa Hii post inaonyesha Wewe ni Zumbukukuu Halafu utakua Ni Diploma mwaka wa Kwanza..... Zuckerberg Ali asisi Idea Halafu Nani Aka code?

Au kwa ulofa wako unafikiri Zuckerberg alienda Havard kusoma CS?
Aisee kuna watu ni ma mbumbumbu. Aya basi ww ndo unajua zaidi tupe historia ya instagram na ya facebook unavyotaka iwe ww.
 
Alafu anakwambia yupo Andela. Sio kwa ukilaza huo.
We nae nilidhani kweli ni developer kumbe mbumbumbu tu, yan unaona jamaa anatoa hoja za uongo kabisa kuhusu Instagram na ww unamuunga mkono wakat ushahidi uko nje nje ,
 
Kwa Hii post inaonyesha Wewe ni Zumbukukuu Halafu utakua Ni Diploma mwaka wa Kwanza..... Zuckerberg Ali asisi Idea Halafu Nani Aka code?

Au kwa ulofa wako unafikiri Zuckerberg alienda Havard kusoma CS?
Hili linaonesha ulivyo na upeo mdg wa kufikiri, ivi kwa akili yako unadhani kwamba facebook au Instagram ni kitu amabcho developer mmoja anaweza kukaa chini kutengeneza peke yake mpk akakimaliza ? Hujui chchte kuhusu app development ww kaa na nyamaza na u mbumbumbu wako!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…