Kujifunza ngoma za asili

Kujifunza ngoma za asili

Mafua ya kuku

Member
Joined
May 31, 2019
Posts
92
Reaction score
76
Wakuu mambo vipi?

Wapi wanaweza kujifunza kupiga na kucheza ngoma za asili, napenda sana nijue hivyo vitu.. chuo gani kizuri kwa hapa Tanzania..

Gharama zake zipoje?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom