Kujifunza masuala ya computer online

Kujifunza masuala ya computer online

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Hello Jf members...!
Naomba mwenye kufahamu links ambazo unaweza kujifunza masuala ya information and computer studies online!
Napenda sana kujua zaidi computer ijapokua sija wahi attend any institution for computer studies!
Nawasilisha
 
kujua computer huitaji kusomea, unahitaji kompyuta pamoja na interest, pamoja na muda bila kusahau Google
 
Hello Jf members...!
Naomba mwenye kufahamu links ambazo unaweza kujifunza masuala ya information and computer studies online!
Napenda sana kujua zaidi computer ijapokua sija wahi attend any institution for computer studies!
Nawasilisha

Kutohudhuria formal studies sio kigezo cha kukukwamisha kuelewa kompyuta, japo itabidi uwe mwangalifu ili kufuata mfululizo bora.

Elimu ya kompyuta ni pana sana na inategemea unataka kufanya nini, kuelewa inavyofanya kazi, kujifunza kuteneza mifumo ya kompyuta, kuwa mhandisi wa network au database....hilo no la muhimu sana ili ujue unaelekea upande gani.

Jaribu hii

Alison
 
Back
Top Bottom