KUJIFUNZA LUGHA YA ISHARA

KUJIFUNZA LUGHA YA ISHARA

BROEDASS

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
32
Reaction score
18
Wapendwa wana jamii forum ninapenda sana kujifunza lugha ya ishara nina mtoto pia ambaye anashida ya kuongea hivyo naomba kwa yeyote mwenye uelewa wa lugha hii anipe mwongozo ili mm na mwanangu tuweze kujifunza lugha ya ishara ili mimi niweze kuwa msaada kwake na kwa wengine wenye tatizo kama lake!Natanguliza shukrani
 
Ana umri gani? Mpeleke shule zinazotoa elimu ya watu wenye mahitaji maalumu, usimfiche ndani! Ushauri; nunua kamusi ya lugha ya alama ili uielewe zaidi you tube kuna video nyingi sana zitakazo kuongoza katika kujifunza
 
Itakua rahisi zaidi kama maeneo uliyopo kuna shule au taasisi inaotunza watu wa namna hiyo ili uwe unaenda kujifunza katika uhalisia

Asante kwa ushauri mpendwa!siwezi kumficha maana nampenda na ana haki zote kama binadamu ana umri wa miaka 6 sasa
 
Ni umri sahihi kabisa wa kumpeleka shule.. na shule ya msingi huwa wanasoma jumla ya miaka kumi ndiyo anaendelea na elimu ya upili
 
Maeneo ninapoishi hakuna hiyo shule ndugu na hata ghalama za kumpeleka kwenye hizo shule za mbali siwezi kuzimudu ndomana nikaomba mwongozo ikibidi nijifunze mwenyewe hata nikipata video za kufundisha hiyo lugha naimani nitaelewa na nitajitahidi nimfunishe mwanangu hivyo hivyo taratibu!
 
Ndugu yangu, huyo kijana namuona kama kijana wangu.. shule za serikali hazina gharama na nyingi ni za bweni! Chakula na malazi atapewa hapo hapo shuleni.. shule zingine zinamilikiwa na taasisi za kidini na nyingi wanatoa ufadhili wao wenyewe hivyo wewe utawajibika kuchangia gharama za kawaida sana. Kumbuka huyu anahaki ya kupata elimu kama watoto wengine hivyo lengo lako lisiishie tu kurahisisha mawasiliano kati yako wewe na yeye bali uende mbali zaidi ili tumtengenezee mtoto mazingira ya kujitegemea

Mtoto ana matatizo mengi hilo ni moja usipojali ntakujuza ndugu ila nimependa udhauri na kujali kwako Mungu akubariki sana!
 
Ubarikiwe pia ndugu, watoto ni wetu sote! Ni pm nikupe mawasiliano tushirikiane katika hili naamini Mungu atatuongoza vyema hatutashindwa

Back
Top Bottom