Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 127
osho nkufunde kimashami............
uchagan kuna lugha nyingi, kimachame, kirombo, kikibosho, kimarangu, kisiha, kiuru na kiold moshi.
wachaga wa kirua, oldmosh na marangu wanasikilizana rtofauti ipo kwenye maneno machahce sana,
wamachame wao wanaongea tofauti kabisaa, na warombo pia na katika hawa warombo kuna wa mkuu na warombo wa mashati hawa nao pia wanatofautiana kimatamsh ya manneo.
wakibosho wanaongea tofauti pia na watu wa siha ivo ivo.
Shida ni kichaga cha eneo gani mkuumkuu nenda bookshop kuna vitabu vya dini kwa lugha ya kichaga vinaweza kuwa msaada kwako
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyokieleza! Naona sasa imefikia muda sasa wa kujifunza lugha yangu ya asili, msaada please kwa anayejua wapi labda kuna sehem wanafundisha Kichagga at least kile cha basic au ni namma gani nifanye angalau nikijue jue kidogo!
Pia kama kuna mwenye kamusi ya Kichagga - Kiswahili tafadhali asaidie hapa!
Nawasilisha
Yeye kasema kiold moshi wewe unataka kumfundisha kimkuu? Kweli wewe ndizi mbivuTe amba vee waoni au niwakaa.!
Ulimealikwa!? Ngimanye namna ng'ekfundisha
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Acha hizo weweJifunze kizaramo tu hakuna namna