kujifunza IT

mfereji maringo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
1,043
Reaction score
263
jamani wadau, mi napenda kujifunza IT, ninafanya kazi hapa mtwara mjini, kama kuna mdau anaweza nishauri nifanyeje ili niweze jifunza hii fani, yaani kama kuna chuo chenye kutoa mafunzo ktk muda wa ziada, au kama kuna web ambayo naweza pata material nikajifunza mwenyewe, naomba msaada tafadhali
 
Sifahama unataka kujifuza i.t ktk fani ipi.ila ungeeleza kwamba unakusudia kuja kuwa nani basi watu km mtazamaji,mzzmkavu,sharobaro na wengine kibao wangekumwagia mautaalamu hapa ungechoka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…