Hummaira
Member
- Mar 8, 2019
- 30
- 75
Habari za mida, natumaini wote mpo sawa mnaendelea vzr na majukumu ya ujenzi wa nchi.
Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana niliitafuta hii mimba kwa miaka miwili lakini namuachia Mungu na namshkuru kwa yote
.
Naombeni kueleweshwa kwa mwenye uelewa sababu zinazosababisha hiyo hali ya kuzaa mtoto premature kwa muda huo wa miezi sita. Mimi binafsi sikusumbuliwa na chchte au dalili yyte ya kushitusha, nilianza kuumwa na kiuno kwa kama masaa mawili tu na wakati nafikishwa hospitali chupa ya maji ya mtoto ikawa imepasuka na nilivyofika leba sikuchukua muda njia kufunguka sikuwekwa vidonge wala maji ya uchungu na nilijifungua mtoto akiwa hai lakini alikaa kama dakika chache akafariki. Naombeni mnisaidie knowledge juu ya hili najiskia mpweke natamani nikikaa miezi mitatu nipate ujauzito mwengine lakini nijue tu nini kilisababisha next time niweze kuwa makini zaidi na Mungu ajaalie nipate angalau mtoto wa kunifuta machozi.
Kulingana na majibu yenu nitajaribu kuangalia na ku relate na mambo niliokua nafanya nijue kama miongoni mwa hizo kuna sababu zilizosababisha asanteni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndugu zangu juzi nimepata bahati mbaya ya kufiwa na mwanangu niliemzaa akiwa na miezi 6 tu. Naumia sana niliitafuta hii mimba kwa miaka miwili lakini namuachia Mungu na namshkuru kwa yote
. Naombeni kueleweshwa kwa mwenye uelewa sababu zinazosababisha hiyo hali ya kuzaa mtoto premature kwa muda huo wa miezi sita. Mimi binafsi sikusumbuliwa na chchte au dalili yyte ya kushitusha, nilianza kuumwa na kiuno kwa kama masaa mawili tu na wakati nafikishwa hospitali chupa ya maji ya mtoto ikawa imepasuka na nilivyofika leba sikuchukua muda njia kufunguka sikuwekwa vidonge wala maji ya uchungu na nilijifungua mtoto akiwa hai lakini alikaa kama dakika chache akafariki. Naombeni mnisaidie knowledge juu ya hili najiskia mpweke natamani nikikaa miezi mitatu nipate ujauzito mwengine lakini nijue tu nini kilisababisha next time niweze kuwa makini zaidi na Mungu ajaalie nipate angalau mtoto wa kunifuta machozi.
Kulingana na majibu yenu nitajaribu kuangalia na ku relate na mambo niliokua nafanya nijue kama miongoni mwa hizo kuna sababu zilizosababisha asanteni
Sent from my iPhone using JamiiForums
