Kujifungua kwa njia ya operation!

Kujifungua kwa njia ya operation!

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
678
Reaction score
308
Habari zenu mabibi na mabwana!

Mwenzangu alijifungua kwa njia ya operation, sasa kwenye stori za hapa na pale juu ya kuongeza watoto wengine, amekuja na hoja kwamba ukijifungua kwa operation na ukashika mimba kabla ya miaka mitatu basi lazima utajifungua tena kwa operation, ili ajifungue kawaida ni lazima ipite miaka mitatu ili kidonda kipone, je kwa wataalamu wa haya mambo kuna ukweli juu ya hili?

Ahsanteni.
 
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10

Mimi ni muuguzi na mkunga.
 
Na kitaalam kwa uzazi wa (c/s) inashauriwa ajifungue mala ngapi au haina idadi
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10

Mimi ni muuguzi na mkunga.
 
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10

Mimi ni muuguzi na mkunga.

Mkunga naomba nipinge hoja yako kwa nguvu kubwa na naomba urejee kozi yako ya midwife na kusoma tena kitabu chetu kikongwe cha Mama Magreth Myles " Myles book for Midwives"

Iwapo mama atajifungua kwa operation na muda ukapita walau 2.5- 3 yrs na kovu limepona , anaweza kujifungua kawaida iwapo sababu iliyopelekea kufanyiwa CS haijajirudia . Tumehudumumia wengi wa hivi na wapo salama. Unless unaongelea kuwa alikuwa na multiple CS scars.
Kwa mfano kama sababu ni mtoto mkubwa hii inaweza isijirudie , au mtoto alikaa vibaya (breech presentation) hii inaweza isijirudie .
Ila iwapo sababu ni ya kudumu mfano nyonga ndogo, mama ana vihatarishi kama hypertension nk basi huyu ataendelea kuwa mteja wa CS.

Turudi kwa mleta hoja: Penda kujua mkeo amefanyiwa operation kwa sababu gani, nenda naye kituo cha afya usikilize ushauri wa daktari na pia fanya research ya kutosha kupitia mitandao na vitabu. Then make an informed decision.
 
Shukran
 
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10

Mimi ni muuguzi na mkunga.
Wapo wawili ninaowajua, walijifungua kwa operation mimba zinazofuata wakajifungua kwa njia ya kawaida. hoja yako haina ukweli
 
Most likely ni kweli, at least miaka miwili na nusu utakuwa na nafasi kubwa ya kuweza kujifungua kawaida. Tofauti na hapo kisu kinahusika tena kwa asilimia kubwa, ingawa unaweza kuchagua vbac ila ma dr wanakuwa hawahusiki na lolote au hatari yoyote itakayotokea during or after (kama mshono kuchanika sababu unakuwa bado haujapona sawa saaa ndani) na chini ya kiaka miwili ukichagua kawaida huna chance ya kupewa sindano ya kupunguza maumivu. Risk ni kubwa zaidi.
 
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10

Mimi ni muuguzi na mkunga.

Si kweli. Miaka 2 na zaidi kidonda kimepona hadi ndani, ana nafasi ya kujifungua kawaida unless otherwise.
Muuguzi pitia vitabu tena.
 
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10

Mimi ni muuguzi na mkunga.
Muuguzi gani wewe unayedanganya watu? Hujui kuna trial for scar? Watu kibaaao wanajifungua kwa SVD baada ya LSCS.

Unforgetable
 
Kwa aliejifungua kwa operation (c/s) mimba zooote zinazofuata atajifungua kwa C/S tu hakuna option katika hilo indication ya C/S ni previous scar bila kujali muda gani umepita baada ya kujifungua hata ipite miaka 10

Mimi ni muuguzi na mkunga.
Mara nyingi Wauguzi wakimya uficha utumbavu wao!!!!!
 
Back
Top Bottom