Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Nikiona jau sana naenda makerere university uganda bachelor of medicine and bachelor of surgery
Kwa huko ni bora sana pia nadhani na ada zao sio kubwa sana ila kama unaweza zaidi unaweza kwenda hata nchi za india huko mkuu.
 
Kwa kweli mkuu hizo 5 zimejaa mkuu labda kwa kozi zenye ushindani mdogo ila kwa MD, Pharmacy au nursing ni ngumu.
Hivi kwani sisi tumerogwa na nani yani mtu anakazanikia kusoma tena 5 years kwa gharama ya juu kabisa sio chini ya 3M kwa mwaka, alafu anawaza kuajiriwa !!!!

Mwaka huu ajira za kujitolea zimetoka kibao ambapo unalipwa nusu mshahara, watu wamejitokeza wengi sana.

Mfano Hospital ya Maweni kigoma walitoa ajira za kujitolea MD walihitajika 5 lakini maombi yalikuwa zaidi ya 30, tena apo ni kigoma na mshahara nusu.

Yani kama mtu anasoma ili apate ajira afanye tu mambo mengine labda baada ya hiyo miaka mitano ukawa mbali sana.

Kuliko kuchoma pesa nyingi na kupoteza muda afu baada ya hiyo miaka mitano hali ndio itakuwa mbaya sana kwenye ajira.
 
Kuliko kuchoma pesa nyingi na kupoteza muda afu baada ya hiyo miaka mitano hali ndio itakuwa mbaya sana.
Wanafunzi wengi wanakimbilia MD either kutaka sifa mtaani kwamba mfulani ni daktari au wanadhani madaktari wanalipwa pesa nyingi sana, kumbe msharaha haujawahi kutosha mkuu. kama umeamua kusoma MD soma kwa ajili ya passion tu sio kutafuta sifa za kijinga.
 
Hivi kwani sisi tumerogwa na nani yani mtu anakazanikia kusoma tena 5 years kwa gharama ya juu kabisa sio chini ya 3M kwa mwaka, alafu anawaza kuajiriwa !!!!

Mwaka huu ajira za kujitolea zimetoka kibao ambapo unalipwa nusu mshahara, watu wamejitokeza wengi sana.

Mfano Hospital ya Maweni kigoma walitoa ajira za kujitolea MD walihitajika 5 lakini maombi yalikuwa zaidi ya 30, tena apo ni kigoma na mshahara nusu.

Yani kama mtu anasoma ili apate ajira afanye tu mambo mengine labda baada ya hiyo miaka mitano ukawa mbali sana.

Kuliko kuchoma pesa nyingi na kupoteza muda afu baada ya hiyo miaka mitano hali ndio itakuwa mbaya sana kwenye ajira.
Sitegemei ajira za serikali mkuu, kujiendeleza kuna sababu zake, nashukuru KWA Mchango wako.
 
Wanafunzi wengi wanakimbilia MD either kutaka sifa mtaani kwamba mfulani ni daktari au wanadhani madaktari wanalipwa pesa nyingi sana, kumbe msharaha haujawahi kutosha mkuu. kama umeamua kusoma MD soma kwa ajili ya passion tu sio kutafuta sifa za kijinga.
Bora umenena mkuu
 
Hivi kwani sisi tumerogwa na nani yani mtu anakazanikia kusoma tena 5 years kwa gharama ya juu kabisa sio chini ya 3M kwa mwaka, alafu anawaza kuajiriwa !!!!

Mwaka huu ajira za kujitolea zimetoka kibao ambapo unalipwa nusu mshahara, watu wamejitokeza wengi sana.

Mfano Hospital ya Maweni kigoma walitoa ajira za kujitolea MD walihitajika 5 lakini maombi yalikuwa zaidi ya 30, tena apo ni kigoma na mshahara nusu.

Yani kama mtu anasoma ili apate ajira afanye tu mambo mengine labda baada ya hiyo miaka mitano ukawa mbali sana.

Kuliko kuchoma pesa nyingi na kupoteza muda afu baada ya hiyo miaka mitano hali ndio itakuwa mbaya sana kwenye ajira.
Ni wachache sana wanaoweza kukuelewa. Anyway maisha ni kuchagua
 
Wanafunzi wengi wanakimbilia MD either kutaka sifa mtaani kwamba mfulani ni daktari au wanadhani madaktari wanalipwa pesa nyingi sana, kumbe msharaha haujawahi kutosha mkuu. kama umeamua kusoma MD soma kwa ajili ya passion tu sio kutafuta sifa za kijinga.

Usiende acha kukaza kichwa eti utamtegemea Mungu kwani wengine watamtegemea shetani. Nenda vyuo vingine kwanza uwezekano wa MUHAS kukuchagua ni mdogo.
Unajua kwanini vyuo huwa vinalimit intake ya kutoka diploma? Sababu ni hizo GPA zenu, na MUHAS ndio kabisa wanatoa nafasi chache zaidi kwa diploma

Ikitokea nimepata naenda, siwez kuogopa , kupambana na kusali naamin nitatoboa tu, shukran KWA Mchango wako , stay blessed
 
Back
Top Bottom