Kujichua vs malaya kipi bora kwa afya

Kujichua vs malaya kipi bora kwa afya

Uduvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
738
Reaction score
521
Kipi bora na salama kwa afya kati ya kupiga punyeto au kununua malaya ovyo hasa unapokuwa mbali na mpenzi wako kwa muda mrefu kama miezi sita hadi mwaka.

Tushauriane hii imemtokea jamaa yangu alipoenda kozi ya JKT na kuwa mbali na mpenzi wake kwa kipindi kirefu na hii inempelekea kuwa addicted wa kujichua.
 
jioni tulivuuuuuu jioni ya jumatatu njemaaaa kabisaa muda wa kufunga hesabu ya siku mtu ndo anajiuliza tena kwa sauti punyeto vs Malaya kipi bora.... dooh??
 
bora ukose pesa kuliko kukosa nguvu za kiume hapa mjini.......
 
Kidini zote hazikubaliki, lakini kwa sababu tuna vichwa vigumu na tunashindwa kushinda tamaa zetu bora malaya, ila tatizo miwaya, na kondom husiikii utamu. We acha tu.
 
Hawaitwi malaya,wanaitwa emergency sex provider(s)...malaya ni yule dem wako unayeona upo peke yako wakat hali halisi mpo wengi na anajitahidi sana kukuficha

Basi mkuu asilimia kubwa ya watu ni malaya..
 
acha kutuchora ww eti jamaa ako wa jkt...sema ni ww
unataka kunambia jamaa ako kakusimulia anapiga pull????
 
Nunuwa malaya hata watano kwa siku na malaya ni watamu kuliko hawa mademu unawo wazungukia kila siku
NB.MALAYA NI WATAMU SANA ILA KUMBUKA CONDOM

Na condom sisikii utamu kwa hiyo mapiga kavu malaya mwanzo kati mwisho..kuanzia kimboka nakuja kona bar namalizia chuoni ustawi.. Ni kavu kavu tu
 
Back
Top Bottom