josephina mapunda
Member
- Jun 24, 2013
- 37
- 1
Pole sana,hii kitu kiukweli ni mbaya sana na ina madhara mabaya lakini wataalamu wa afya hawayaweki wazi kiviile ndio maana vijana wamekuwa wakidhurika kila kukicha'ushauri wangu ni kuwa jihusishe sana na michezo na kuacha tabia ya kupenda kukaa peke yako muda mwingi.Jaman wana JF msaada please!!
Nimekuwa nikijichua zaidi ya miaka 6 (sita), na sasa sina nguzu kabisa za kiume na zaidi kutokana na tabia yangu hiyo nimekuwa mwoga kila sekta nataman kuacha lakin mara nyingi huwa nashindwa, kwa ukwele sasa sina hamu ya mwanamke tena ndo nawaogapa kinomah,Naomba mnisaidie niweze kuacha ili niwe kama wanaume wengine, nimekuwa msaarifu si kumbuki vitu ambavyo navifanya hata kidogo,kutokana tabia hii nimefeli mithani, kwani sina uwezo wa kutunza kumbukumbu kitu nikikisoma nikifunika daftari kimepotea. Umri wangu ili bidi niwe na mke lakini kwa bahati mbaya siwezi. Jaman wana JF mnisaidie angalau baada ya miaka miwili au mitatu kwa njia ambozo mtanipa niweze kuwa na kuwa kama zamani.
Majibu yenu ndio kupona kwangu
asante
CHEUPE
Ukitaka kurudi nguvu zako za kiume kama zamani tembelea hapa bonyeza [h=1]Topic: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka![/h]Jaman wana JF msaada please!!
Nimekuwa nikijichua zaidi ya miaka 6 (sita), na sasa sina nguzu kabisa za kiume na zaidi kutokana na tabia yangu hiyo nimekuwa mwoga kila sekta nataman kuacha lakin mara nyingi huwa nashindwa, kwa ukwele sasa sina hamu ya mwanamke tena ndo nawaogapa kinomah,Naomba mnisaidie niweze kuacha ili niwe kama wanaume wengine, nimekuwa msaarifu si kumbuki vitu ambavyo navifanya hata kidogo,kutokana tabia hii nimefeli mithani, kwani sina uwezo wa kutunza kumbukumbu kitu nikikisoma nikifunika daftari kimepotea. Umri wangu ili bidi niwe na mke lakini kwa bahati mbaya siwezi. Jaman wana JF mnisaidie angalau baada ya miaka miwili au mitatu kwa njia ambozo mtanipa niweze kuwa na kuwa kama zamani.
Majibu yenu ndio kupona kwangu
asante
CHEUPE
Jaman wana JF msaada please!!

Ukitaka kurudi nguvu zako za kiume kama zamani tembelea hapa bonyeza [h=1]Topic: Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka![/h]
Josefina tangu lini akawa mwanaume???