Kujiajiri kwa kutumia mtandao

Kujiajiri kwa kutumia mtandao

symwo

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
152
Reaction score
49
Habari zenu jamani,poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Wadau naomba msaada kujua ni jinsi gani mtu anaweza kujiajiri kwa kutumia mtandao mfano INSTAGRAM.Ni biashara gani mtu anaweza ifanya instagram isiyo hitaji mtaji wa kuianzisha na akajipatia kipato?
 
Nilijua unatupa mbinu kumbe swali???
 
Mkuu fanya hivi japo kuwa ni ngumu
Nenda kwenye duka flani waombe uwe unawatafutia wateja mtandaoni kwa kupost bidhaa zao kwahiyo wewe utakuwa unakubaliana na mteja then mzigo unakuja kuuchukua kwa mwenye duka hivyo wewe kuna cha juu hapo utakuwa unakula, harafu pia wateja wakiwa wengi mwenye duka utakuwa anakupa kitu kidogo

I hope umenipata kidogo
 
Wazo zuri mkuu,shukrani
 
Back
Top Bottom