Kujiajiri au kuajiriwa?

Kujiajiri au kuajiriwa?

FARU JEURI

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2015
Posts
377
Reaction score
299
habari zenu wana-JF..naombeni ushauri wenu nimepata two altenative kutoka kwa relative flan
1. Aniajiri kwenye kampuni yake ya mikopo?
2. Anipe mtaji nijitafutie maisha yangu mwenyewe?

so altenative gani ina bright future kama ungekuwa wewe ndugu??
 
hili nalo la kuomba ushauri??


hata walio kwenye ajira wengi wanatafuta mtaji.. wewe umepata nafasi ya kuupata bado haujielewiiiii

tumia elimu uliyonayo ujikomboe mbeleni uwe bakhresaa uwmwaajiri watoto wetu wasio na mitaji
 
Asanteni...bt nimeomba huu ushauri coz huo mtaji nimeahidiwa up to December na ajira ni as soon as possible!!
 
Kwani kuusubiri kwa hyo miezi miwili unakufa? ??..uliza kila mtu aliyeajiriwa anatamani cku moja ajiajiri. ..faida za kujiajiri ni iz apa
1.unajipangia mwnywe mambo yako co kupangiwa
2.una chance ya kuwa tajiri lakini ukiwa umeajiriwa utajiri unamjengea boss wako
3.hakuna tajiri duniani aliyeajiriwa
 
Anayetaka kujiajiri ana dalili zake,wewe huna mpaka sasa.

Nakushauri uajiriwe mpaka wakati wa kujiajiri mwenyewe utakapofika,la utapoteza mtaji utakaopewa na ajira ukaikosa.
 
habari zenu wana-JF..naombeni ushauri wenu nimepata two altenative kutoka kwa relative flan
1. Aniajiri kwenye kampuni yake ya mikopo?
2. Anipe mtaji nijitafutie maisha yangu mwenyewe?

so altenative gani ina bright future kama ungekuwa wewe ndugu??


Hapo Brigt future ni Kujiajiri kama rael atakupa mtaji, Usiogope kwenye ajira huwezi kutajirika kama wewe sio mwizi.
 
Direct unaonesha kwamba unataka kuajiriwa,kwa sbb unaona Dec ni mbali, ushauriweje tena?
 
Jiajir mkuu...after one yrs utaniambia matunda yake
 
huo mtaji hata ukipewa leo ushajua utafanya shughuri gani!?? kama bado bora ukubaki kuajiriwa kwa muda kwanza huku unatafuta idea taratibu... usije jikuta umepewa mtaji mpaka unaisha haujaingiza chochote
 
Unaweza kuwa na mtaji ila ukawa hujui ufanyebiashara gani, wateja uwapate wapi, nk, biashara haihitaji kukurupuka, tuliza akili ndipo uingie kwenye biashara vinginevyo pesa itapeperuka kama upepo, tena pesa za kupewa zikikutoka kupata tena utasubir sana.

Pia kazi kama mshahara unaona utakulipa kiasi, fanya kazi huku ukiangalia ufanye nin cha ziada, then ndio uanzishe biashara, fanya biashara ukiwa kazini hadi utakapoona umesimama vema ndipo uachane na kazi.
 
Back
Top Bottom