last Commando
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 233
- 304
Wakuu salam zenu, ninampango wa kujenga choo cha nje naomba kujuuzwa ni tofali ngapi zitatumika
Ooh kumbe shukurani sanaTofali 150 Hadi 180
Tuchukulie mfano choo kina urefu wa mita 1.2 na upana wa mita 0.9 (ndani kwa ndani)Wakuu salam zenu, ninampango wa kujenga choo cha nje naomba kujuuzwa ni tofali ngapi zitatumika