Kuja pm

Kuja pm

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Hii tabia inanisikitisha inanisononesha inaniumiza na zaidi inanihuzunisha, unakuta mtu anakufata pm mnachonga unarusha ndoano badala ya kukupa jibu huyo anatokomea kusikojulikana baada ya siku mbili anaibuka na Hi.

We nani alikuambia kwamba Hi ni mpaka pm hau haujui nini maana pm (personal messages) huko ni sehemu ya kuongea vitu vya siri kama ni Hi we njoo huku jukwaani unipe Hi ili kila mtu aone sio pm na ukome hasa wewe mwanamke ambae unamfata mtu pm alafu utaki kukubaliana na masharti ya pm.
 
Kwa hiyo unatongoza hata usiowajua kwa sura?
Maana humu jf hatufahamiani sasa unatokea usiemjua kazi kweli kweli
 
check it!!!!!!!!!!!!!!!!!
sinza mori usiku utakutana na dada yako
 
Kwa hiyo unatongoza hata usiowajua kwa sura?
Maana humu jf hatufahamiani sasa unatokea usiemjua kazi kweli kweli

inamaana akina marytina, cutelady, misschaga, apologiselady, misscute wote ni vidume.
 
Hii tabia inanisikitisha inanisononesha inaniumiza na zaidi inanihuzunisha, unakuta mtu anakufata pm mnachonga unarusha ndoano badala ya kukupa jibu huyoo anatokomea kusikojulikana baada ya siku mbili anaibuka na Hi.

we nani alikuambia kwamba Hi ni mpaka pm hau haujui nini maana pm (personal messages) huko ni sehemu ya kuongea vitu vya siri kama ni Hi we njoo huku jukwaani unipe Hi ili kila mtu aone sio pm na ukome hasa wewe mwanamke ambae unamfata mtu pm alafu utaki kukubaliana na masharti ya pm.

Unashindwa kuelewa hiyo Hi ina maana gani? Inawezekana kajifikiria upya anza tena kurusha zile ndoana zako!
 
Angalia usije tongoza mama/dada/shangazi/bibi yako. Wote hao wamo humu JF
 
Unashindwa kuelewa hiyo Hi ina maana gani? Inawezekana kajifikiria upya anza tena kurusha zile ndoana zako!

lakini ni vyema kusema ngoja nifikirie sio kutokomea alafu anaibuka na Hi ambazo mara nyingi huwa zinakuja na kuitaji mikopo.
 
lakini ni vyema kusema ngoja nifikirie sio kutokomea alafu anaibuka na Hi ambazo mara nyingi huwa zinakuja na kuitaji mikopo.

Kama ni mkopo itajulikana mbele ya safari. Wewe una mahitaji yako na yeye ana ya kwake. Ni suala la balance hiyo nipe, nikupe!
 
Angalia usije tongoza mama/dada/shangazi/bibi yako. Wote hao wamo humu JF

Si bora utongoze shangazi mama bibi au dada yako kuliko mwanaume mwenzio wengine humu wanajiita cuties kumbe ni handsome
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom