Kuja kwenu ni Hasara Kwangu..................

Not that sitaki wageni ila kuna watu hata iweje watakuja tu,..watakwambia si lazima tukae kwenye sofa!Hata vigoda au chini, tutaketi tu.
 
Unajua matunda yake yanaitwaje? Yanaitwa flaisha.............
 
Safari kwangu ni dona u kwenda mbele siwezi wapa sembe katu asilani abadani
 
hili huwa ni maalum kwa Jumapili na siku za sikukuu
 
ukitaka kuonesha roho mbaya zaidi unalimwagia maji siku ya sikukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…