Kuitwa usaili Puma Energy

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,691
Ndugu zangu,Puma Energy kuna wakati ilitoa nafasi za kazi,ni kama miezi mitatu sasa..vipi kwa mwenye habari,hawa jamaa wameshaita interview?je miongoni mwa member humu anaweza kunambia nin chaendelea?naomba kupata information...Asante
 
Mbona wameshaita kama week 2 zilizopita. Sijajua uliappy post gani ila kama ni engineering walipiga simu week 2 zilizopita kwamba tujiandae na interview
 
Mbona wameshaita kama week 2 zilizopita. Sijajua uliappy post gani ila kama ni engineering walipiga simu week 2 zilizopita kwamba tujiandae na interview

Vp kuhusu undergraduate trainee?kijana wangu fulani ali-apply
 
Mbona wameshaita kama week 2 zilizopita. Sijajua uliappy post gani ila kama ni engineering walipiga simu week 2 zilizopita kwamba tujiandae na interview
Kwa mara ya kwanza kusikia eti applicant anapigiwa simu 2 weeks before eti kwa ajili ya kujiandaa na interview.Kweli ulimwengu wa ving'amuzi na digital sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…