kwa mujibu ya post ya jamaa mwingine mi nakubaliana na ww coz haiwezekani ukaitwa kwenye interviev tena mbali DODOMA (DODO DOMA) siku tatu kabla
mi haiingii KWENYE AKILI YANGU
kwa mujibu ya post ya jamaa mwingine mi nakubaliana na ww coz haiwezekani ukaitwa kwenye interviev tena mbali DODOMA (DODO DOMA) siku tatu kabla
mi haiingii KWENYE AKILI YANGU
gazeti la dailynews la laeo wametoa tangazo kuwa walioomba kazi udom majina yao yapo kwenye website ya udom www.udom.ac.tz waombaji wayaangalie, kisha wanatakiwa waende kwenye mtihani siku ya jumamos(15 oct)na jumapili(16 oct),,,,,atakayefaulu atafanya oral inteview........
Huu ni ubakayeye kutoka Kigoma mpaka udom kufuata msaragambo mazao yangu yaharibike shambani. hapa kuna watu wengi mpaka wameshindwa kufanya selection sasa huku ni kupotezeana wakati. Watakaoenda nisameheni kama kimewakwaza au kuwakatisha tamaa. Kiukwel ningeliona jina langu fasta nisingetia shaka ila hii ya safar hii ni kazzzzzzzzzzzzzz kwelkwel.