wewe endelea kuapply sehemu ntingine tuu.halafu sahahu kabisa.
watu washalipwa na subsistence allowances wewe unasubiri ajira?wenzako walikula interview jumamosi na jumapili then jumatatu kazini,pole sana
Inaelekea wewe mgeni na mambo haya. Afadhali wengine msije ili tuende wachache.kwa mujibu ya post ya jamaa mwingine mi nakubaliana na ww coz haiwezekani ukaitwa kwenye interviev tena mbali DODOMA
(DODO DOMA) siku tatu kabla
mi haiingii KWENYE AKILI YANGU
eti wana jf, mi nataka kufahamu kama udom washaita mana nasikilizia naona kimya, vp wenzangu kuna tetesi zozote za huko udom? kulikoni??
Hakuna majina wala nini kwenye website. Usanii mtupugazeti la dailynews la laeo wametoa tangazo kuwa walioomba kazi udom majina yao yapo kwenye website ya udom