Kuitwa kwenye usaili UDOM

tinamuro

Member
May 18, 2011
10
0
eti wana jf, mi nataka kufahamu kama udom washaita mana nasikilizia naona kimya, vp wenzangu kuna tetesi zozote za huko udom? kulikoni??
 
watu washalipwa na subsistence allowances wewe unasubiri ajira?wenzako walikula interview jumamosi na jumapili then jumatatu kazini,pole sana
 
Kuna jamaa ka-post thread hapo anasema muangalie kwenye tovuti yao au magazet ya leo tar 12 oct! kila la heri mkuu...
 
watu washalipwa na subsistence allowances wewe unasubiri ajira?wenzako walikula interview jumamosi na jumapili then jumatatu kazini,pole sana

kwa mujibu ya post ya jamaa mwingine mi nakubaliana na ww coz haiwezekani ukaitwa kwenye interviev tena mbali DODOMA
(DODO DOMA) siku tatu kabla
mi haiingii KWENYE AKILI YANGU
 
kwa mujibu ya post ya jamaa mwingine mi nakubaliana na ww coz haiwezekani ukaitwa kwenye interviev tena mbali DODOMA
(DODO DOMA) siku tatu kabla
mi haiingii KWENYE AKILI YANGU
Inaelekea wewe mgeni na mambo haya. Afadhali wengine msije ili tuende wachache.
 
eti wana jf, mi nataka kufahamu kama udom washaita mana nasikilizia naona kimya, vp wenzangu kuna tetesi zozote za huko udom? kulikoni??

gazeti la dailynews la laeo wametoa tangazo kuwa walioomba kazi udom majina yao yapo kwenye website ya udom www.udom.ac.tz waombaji wayaangalie, kisha wanatakiwa waende kwenye mtihani siku ya jumamos(15 oct)na jumapili(16 oct),,,,,atakayefaulu atafanya oral inteview........

Kwa maelezo zaid soma web yao
 
Huu ni ubakayeye kutoka Kigoma mpaka udom kufuata msaragambo mazao yangu yaharibike shambani. hapa kuna watu wengi mpaka wameshindwa kufanya selection sasa huku ni kupotezeana wakati. Watakaoenda nisameheni kama kimewakwaza au kuwakatisha tamaa. Kiukwel ningeliona jina langu fasta nisingetia shaka ila hii ya safar hii ni kazzzzzzzzzzzzzz kwelkwel.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom