hapana mkuu sio kulalamika hivi sio vizuri nikusumbua wanaomba kazi fikiria hapo kuna watu wa mbeye , kigoma, mwanza na kwingineko ni gharama kiasi gani watazitumia kufanya usaili hewa. tunaongezeana umasikini kwa namna hii , mfano mwingine ni Gaming Board walikua wanahitaji muhasibu 1 alafu wakaita watu 2600 unaona ni fair hiyo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Usaili mbona fair mkuu? Huoni takwimu waliopiga pepa written wamechujwa? Kwani ukitoka mbeya, Iringa, Kigoma na mikoa mingine kitu gani kinazuia usifaulu mchujo? Mtihani wa Utumish Always umekuwa ni Mfumo huru mkuu; Has siku izi, uwezo wako tu Kichwani, Vitendo na Kujielezea vizuri baasikiria hapo kuna watu wa mbeye , kigoma, mwanza na kwingineko ni gharama kiasi gani watazitumia kufanya usaili hewa
Written pepa za utumishi huwa zinabez kwenye taaluma husika au general mfano wa aptitude test?Mkuu Usaili mbona fair mkuu? Huoni takwimu waliopiga pepa written wamechujwa? Kwani ukitoka mbeya, Iringa, Kigoma na mikoa mingine kitu gani kinazuia usifaulu mchujo? Mtihani wa Utumish Always umekuwa ni Mfumo huru mkuu; Has siku izi, uwezo wako tu Kichwani, Vitendo na Kujielezea vizuri baas
Hivi written za utumishi ni academical au aptitude test
But in Relation to the Job responsibilities za hiyo kazi;ni academic mkuu .....full ulicho soma
exactly ....But in Relation to the Job responsibilities za hiyo kazi;
HAAAAHAAMwanaume written ana 98% practical ana 24% duuuh,
hujalazimishwa kujahapana mkuu sio kulalamika hivi sio vizuri nikusumbua wanaomba kazi fikiria hapo kuna watu wa mbeye , kigoma, mwanza na kwingineko ni gharama kiasi gani watazitumia kufanya usaili hewa. tunaongezeana umasikini kwa namna hii , mfano mwingine ni Gaming Board walikua wanahitaji muhasibu 1 alafu wakaita watu 2600 unaona ni fair hiyo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nije wp tena umesikia kwamba nataka ajira?? nilichotoa hapo ni mchango wangu nikizingatia hali za watanzania wenzangu. usipende kutumia matatizo ya wengine kujinufaisha, au hauelewi hapo think criticallyhujalazimishwa kuja
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu peleka hasira za kukosa ajira kitaaa wewe,Nije wp tena umesikia kwamba nataka ajira?? nilichotoa hapo ni mchango wangu nikizingatia hali za watanzania wenzangu. usipende kutumia matatizo ya wengine kujinufaisha, au hauelewi hapo think critically
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni nafasi chache watu 1257 kwa post 4... doh at least wangeita hata 150 kwenye written.Unawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?
Unajua maana ya usaili wa mchujo?
Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?
Tupunguze kulalamika ndugu zangu.