Mkuu ukisoma vizuri aliyetoa uzi huu hayumo kwenye usaili lakin wacheki akina😵
Inabidi Aliyetoa hili bandiko, atuwekee na PDF ya matokeo kama alivyoweka walioitwa Interview.. Mimi nina hamu kuona perfomamce za Vijana
Tehe teheKingine weka Akilini Utumishi hawangalii GPA, CISA, CISCO, CPA, CPB, CFA Kwenye kazi ambazo siyo za Kufundisha Vyuo. So Ukifeli Mchujo nyumbani Kuna watu wengine wanakua comfortable na GPA walizozipata SAUTI huko.
Mi sio member wa hili isipokuwa niliuliza swali tu kwa interview tofauti na hii...M
Mkuu ukisoma vizuri aliyetoa uzi huu hayumo kwenye usaili lakin wacheki akina
jiwe angavu,Duoseptember,Jagood,Duoseptember hawa wadau naona ushirikiano leo hakuna watupe yaliyojiri huko tafadhali!
Wanaweka show tu ili ionekane kwamba kweli ajira zimetolewa tele na serikali na kuwa uncle magu yuko fresh amewapa wote chance ya Sandakarawe![emoji23]Kwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
Sandakarawe, aminaKwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
Aliyefaulu sana ana alama 98% na mtu wa mwisho ana alama 0% ila wote wana Degree za IT na vyeti original!! Ninawasiwasi na uhakiki wa vyeti hasa kwa hawa wenye alama chini ya 10% anyway huyo mwenye 0% asikate tamaa ajaribu tena usaili wa TRA!!!Usaili umefanyika leo..wa written interview..walisema majibu ya walio pita huo mchujo watatoa leo jioni kupitia website..ili waweze kuendelea na oral interview
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda mwinģine naonaga hawafanyi uchambuzi vzr ktk kuita watu..maana watu 1257/4?? Haileti picha hapo mtafanya cku tatu mpk nne usiasahau utaacha cm hapoMkuu post4 ndo watu1257 duuu
For your information imefanyika siku moja tuu, kati ya hao 50 wamepata alama 63-98, na ndio waliochaguliwa. Wazee wa kulalama wamemwagwa.Mda mwinģine naonaga hawafanyi uchambuzi vzr ktk kuita watu..maana watu 1257/4?? Haileti picha hapo mtafanya cku tatu mpk nne usiasahau utaacha cm hapo
Wandugu mlio omba TFDA mambo yamekwiva, mchuano mkali zaidi kwa wale mlioomba nafasi ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER wameshortlist watu 1257 sikumbuki zilikua post ngap naomba wanamahesabu mtufanyie probability ya kila mtu kupata ikoje!
Kila lakheri nawatakieni interview njema!
Huyu sijuii ndo wazee wa past paper??Mwanaume written ana 98% practical ana 24% duuuh,
hapana mkuu sio kulalamika hivi sio vizuri nikusumbua wanaomba kazi fikiria hapo kuna watu wa mbeye , kigoma, mwanza na kwingineko ni gharama kiasi gani watazitumia kufanya usaili hewa. tunaongezeana umasikini kwa namna hii , mfano mwingine ni Gaming Board walikua wanahitaji muhasibu 1 alafu wakaita watu 2600 unaona ni fair hiyo???Unawachujaje watu wenye sifa zinazolingana kupata hao 20?
Unajua maana ya usaili wa mchujo?
Wangeita watu 20 bado mngelalamika wamependelea watoto wa wakubwa huku watoto wa wakulima mumeachwa, sasa mumepewa nafasi sawa ya kupambana bado mnalalamika, shida ni nini?
Tupunguze kulalamika ndugu zangu.