Wandugu mlio omba TFDA mambo yamekwiva, mchuano mkali zaidi kwa wale mlioomba nafasi ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER wameshortlist watu 1257 sikumbuki zilikua post ngap naomba wanamahesabu mtufanyie probability ya kila mtu kupata ikoje!
Kila lakheri nawatakieni interview njema!
4/julySory wadau,deadline ya tfda ilikua mwisho lini, nataka kuangalia ni muda gani wametumia mpaka kuita interview ya kwanza
Deadline ilikuwa ni tar 4 julySory wadau,deadline ya tfda ilikua mwisho lini, nataka kuangalia ni muda gani wametumia mpaka kuita interview ya kwanza
Oral Ndo wanafanya Hivyo!Wangeita wachache wenye probability ya kupata. Kwa nafas 4 wangeita watu 20 tu inatosha. Sasa hapa watu 1253 wanakwenda sumbuliwa for nothing.
Kwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314Wandugu mlio omba TFDA mambo yamekwiva, mchuano mkali zaidi kwa wale mlioomba nafasi ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER wameshortlist watu 1257 sikumbuki zilikua post ngap naomba wanamahesabu mtufanyie probability ya kila mtu kupata ikoje!
Kila lakheri nawatakieni interview njema!
Kwann uite watu 1257 kwa watu nafasi nne anagalia nauli za watu 1253 zitaungua bure wangeita watu angalau bc 24 inatosha kabisa.. Hapa Ratio ni 1:314
Wangeita wachache wenye probability ya kupata. Kwa nafas 4 wangeita watu 20 tu inatosha. Sasa hapa watu 1253 wanakwenda sumbuliwa for nothing.