Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Ajira

wameita watu 453 kitengo cha accountant TFDA,NA WANATAKA MTU 1...........................guys natoka bukoba mnanishauri niende iyo interview?
 
Nenda tuu kama unaamini uko vizuri kuweza kuongoza watu 453 ..I know yupo atakae ongoza unaweza ukawa wewe alafu mara nyingi kama ukifanya poa sana hua hawakuachi hivi hivi next time watakuita kazini moja kwa moja au wakaongeza idadi isiwe moja
 
Nenda tu mkuu japo inakatisha tamaa, usisahau kubeba hela ya kutumia hata kama utafikia kwa ndugu, miezi dume hii
labda nikapate experience ya interview........nyie ndo mmenipa moyo angalau but the first guy niliomwambia akanambia hiyo nafasi ina mtu tayari,nyie mnaenda kukamilisha ratiba tu.......
 
Kuna watu wanalalamika kuna nafasi ipo kwenye tangazo lakini kwenye usaili haupo wala majina hawajaitwa? Hii inakuwaje?
 
Hiyo ni kweli aloycious,mdogo wangu aliomba planning officer ii e-government ila hawajatoa majina ya kada hyo.
 
Hiyo ni kweli aloycious,mdogo wangu aliomba planning officer ii e-government ila hawajatoa majina ya kada hyo.
 
wameita watu 453 kitengo cha accountant TFDA,NA WANATAKA MTU 1...........................guys natoka bukoba mnanishauri niende iyo interview?

nakusihi usiache km huna kazi ila km unayo sawa unaweza fikiria ila km huna we nenda tyu
 
labda nikapate experience ya interview........nyie ndo mmenipa moyo angalau but the first guy niliomwambia akanambia hiyo nafasi ina mtu tayari,nyie mnaenda kukamilisha ratiba tu.......
Lisemwalo lipo lakini
 
Nen
labda nikapate experience ya interview........nyie ndo mmenipa moyo angalau but the first guy niliomwambia akanambia hiyo nafasi ina mtu tayari,nyie mnaenda kukamilisha ratiba tu.......
Nenda hata usipopata ukifaulu usaili wanakuweka kwenye kanzi data nafasi ikipatikana unaitwa kazini.Usiache kuhudhuria usaili huu ndugu yangu hata kama mpo wengi
 
Nenda tu maana ukikosa hao jamaa wana huruma sana hata kufagia ubungo bus terminal watakupa
 
Back
Top Bottom