Uvundo80
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 280
- 256
wangeshortlist usingekuwemo kwenye listPPF mafala nimepoteza muda wangu kuingua kwenye system yao kujaza,leo wanakuja na tangazo la kuita watu woote wande kwenye usahili,yani hawataki hata kujisumbua kushirt list??ina maana woote waliotuma maombi wana vigezo??Wapumbavu utaratibu tu wa ajira unaonesha ajira zao ni za kujuana,washaeka watoto wao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nabiiwangeshortlist usingekuwemo kwenye list
Mfumo hauruhusu kuomba baada ya deadline. Vijana acheni kulalamika kama uliomba nenda kwenye interview Mungu yupo labda hii ndio bahati yako.Nahis watu wao wanaowataka walichelewa kupeleka maombi ya kazi. Inamaana mtu aliyetuma maombi baada ya deadline na yeye ana vigezo vya kwenda kwenye interview. Ni bora wenge shortlist watu wote waliofanya maombi ndani ya deadline kuliko haya. Heti watu wote waliyo omba wanahitajika. Mimi hata siendi
Kweli kabisa....Mfumo hauruhusu kuomba baada ya deadline. Vijana acheni kulalamika kama uliomba nenda kwenye interview Mungu yupo labda hii ndio bahati yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Interview inafanyika duce wengine sisi wageni ila tutakuja lakini washamba Wa mji kufuka huko duce unapanda magari ya wapi au sehemu gani
Sent using Jamii Forums mobile app