Kuitwa kwenye usaili PPF

Kuitwa kwenye usaili PPF

vinneboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
478
Reaction score
436
Ni tarehe 28 August.
 

Attachments

  • ppf.jpg
    ppf.jpg
    54 KB · Views: 177
post haieleweki wametoa hilo tangazo kwenye gazet gani
 
Hapo sasa itakuaje maana majina yaliokua short listed kwenye interview hakuna
 
Sasa muda wote huo hivi ni kweli watu watakuwa wanakumbuka kama waliombaga maana naona umbali upo kama miezi mitatu (3) hivi.
Ila watahiniwa mjitahidi kuhudhuria mfike bila kukosa, Mwenyezi Mungu awatangulie katika mafanikio mema na mpate hizo kazi. Amina
 
hawa ndio machizi wanaoliangamiza taifa usikute wanaoshughulika na huu usail elimu yao wote ni kuunga ukiinganisha na mkurugenzi mkuu
 
Hawa jamaa si walitangaza pia nafasi ya PLANNING and RSEARCH MANAGER...

Au?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
PPF mafala nimepoteza muda wangu kuingia kwenye system yao kujaza,leo wanakuja na tangazo la kuita watu woote wande kwenye usahili,yani hawataki hata kujisumbua kushort list??ina maana woote waliotuma maombi wana vigezo??Wapumbavu utaratibu tu wa ajira unaonesha ajira zao ni za kujuana,washaeka watoto wao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom