MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,873
- 3,094
vuta pumzi mzee lazm watoe leo cz kesho ni oral inabidi zifanyike
Sawa mkuu ngoja tuvute pumzi sio...!
vuta pumzi mzee lazm watoe leo cz kesho ni oral inabidi zifanyike
Kuna mda Majibu ya yalikuwa zinatoka saa 5 Usiku hahahMpaka sasa 17:17 naona kimya aisee...!
Kuna mda Majibu ya yalikuwa zinatoka saa 5 Usiku hahah
Inakuwa imekula kwako mzee inabidi uwe updated wewe mwenyewe.Don't tell me kiongozi hiyo si inakuwa labda kama interview inayofuata ina siku mbili au tatu mbele labda.
Lakini hii interview inayofuata ni kesho wakitoa usiku sana kama mtu hujaona inakuaje wanatuma na email kwa kila mtu bro au...?
Kapambane Sasa Boss Kutoboa kupo tu.Mkuu umekuwa ni mtu muhimu sana na una mchango mkubwa sana kwenye jukwaa hili aisee. Pamoja na mkuu Witmak255 kwa pamoja mbarikiwe sana wakuu.
Thanks a lot bro's...!