Kuitwa kwenye usahili TANESCO.

Kuitwa kwenye usahili TANESCO.

pipi mti

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
764
Reaction score
515
Heshima yenu Wakuu.

Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.

Nawasilisha.
 
Unataka Tetesi ipi Mkuu Utaongopewa tu humu.
 
Tuvute subira,nafikiri maombi ya waliotuma ni mengi sana si unajua shirika linatenda haki tofauti na mwanzo
 
Mkuu subira yavuta heri, najua una kimuhemuhe just wait muda ukifika zitakua wazi
 
Ukiona hivyo waliotuma maombi ni wengi sana kwahyo wanachambua bado
 
Ata zile za TPA ambazo deadline yake illikua 31july bado kimya adi leo.
 
Heshima yenu Wakuu.

Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.

Nawasilisha.
ONLY SHORTLISTED CANDIDATES WILL BE ONTACTED.....Ukiona Kimya Mzee, Endeleza Harakati Nyingine Tu
IMG-20190831-WA0000.jpeg
 
Heshima yenu Wakuu.

Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.

Nawasilisha.
Tulia mzee,utumishi watatoa tu majina chakufanya saiv wew jinoe tu pigilia misuli ili ukiitwa ukatimue vumbi la maana
 
Heshima yenu Wakuu.

Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.

Nawasilisha.
haya sasa mzigo ushatoka mzee jiandae ukapambane Duce
 
Back
Top Bottom