Kuitwa kwenye usahili NSSF

Kuitwa kwenye usahili NSSF

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Jamani nimeambiwa NSSF wameweka majina kwenye website yao kama vipi cheki nao online.
 
website ya nssf haina majina na kwa bahati mbaya hata tangazo la kazi halikuwapo kwenye website so inawezekana hata majina wasiyaweke kwenye website yao cha msingi ni kuangalia other sources
 
Hizo ajira za NSSF mbona wanasema zina wenyewe au wewe ni miongoni mwa wenyewe.
 
Dah nisamehni kwa kutoa habari hii, nimewasiliana na jamaa aliyetoa nyeti na kusema ni yapo kwenye mchakato kwa kipindi hiki alikosea kunieleza tu, sorry wadau.......mjini shule!
 
Poa tumekusamehe! by the way ukiona manyoya ujue ameshaliwa...ukipata habari kamili utujuze mkuuuuuuuuu....
 
itabidi tupeane info wakitoa hizo names manake tumeshakwama mjini hapa
 
nimepigiwa simu juzi ijumaa kutoka nssf nikitakiwa kwenda kwenye usaili jumatano luther house azania front. kwa hiyo sidhani kama watatoa shortlist kwenye media!
 
Haya kama mimi muongo tukutane jumatano saa tatu pale luther house, azania front. ila trust me huo ndio ukweli wenyewe sidhani kama kutakuwa na shortlist kwenye media!
 
dah! Hapa nimetoka kugamble nhif,tena nssf holaa! Kweli mwaka wa shetan
 
nimepigiwa simu juzi ijumaa kutoka nssf nikitakiwa kwenda kwenye usaili jumatano luther house azania front. kwa hiyo sidhani kama watatoa shortlist kwenye media!

mh hii ni noma, nawe unavaa barakashia nini?
 
Back
Top Bottom