Kuitwa kwenye interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kwenye interview

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ulanzi mtamu, May 19, 2012.

 1. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Last week nilipigiwa cm kuhudhuria kwenye usaili j5 then j4 nikapigiwa tna wakasema wameahirisha watanijurisha. NTAITWA?
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unajua kuchora chini kama hujui anza kujifunza.
   
 3. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kivipi mzinga?
   
 4. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani hawakukwambia ni lini uende tena kwa Interview? Ni vyema ungepata details zao na pia wangekudokoza sababu za kuhairisha?
   
 5. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waliniambia kwamba ni muingiliano 2 wa ratiba pale oficn kwao so ntajurishwa na wala nicwe na wasiwasi..
   
 6. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Afadhali hawajakuita, ungefeli hiyo interview!
  Maoni yangu: jifunze jinsi ya kujieleza vizur.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Mi sijaelewa!!!!
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naona kama wanakuzingua tu wameshauza nafasi hiyo kama vipi komaa nao.Namba siunazo.
   
 9. KML

  KML JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama kusoma hujui basi ata picha babu????
   
 10. f

  fatakifataki Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  hawako serious hao... namshaka na competence yao kwenye hr profesional, huwezi kuitaita watu hovyo tu as if unaenda kunua chips bandani lazima wajue walitaka kuajiri mtu aliesoma, na ni muhimu kwa org yao. achana nao watakuja kukufastruate in future hao
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wapi huko?
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Yani ni kama mwanzisha mada ameenda kwa mganga wa kienyeji alafu ndio anamuuliza hilo swali.
  Kinachofuata mganaga atamwagiza jogoo ili achungulie kama ataitwa au la!
   
 13. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kuwa na imani za kishirikina wee ndibalema..
   
 14. a

  admirable Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama ni tbs ndo zao huwezi itwa tena
   
 15. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hapo tena ndio huna chako...
   
 16. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli wadau nimeamini comment zenu coz nimepeleleza na kugundua ile nafasi kuna m2 tayari kaanza kazi duuh!. bongo noma
   
Loading...