naomba kuuliza wakuu,kwa bahat mbaya sijapata taharifa yoyote ile juu ya written interview iliyo fanyika mnamo mwezi wa sita mwishoni kuelekea wa saba pale UBA.
kwa anae fahamu.....
1.wameshachukua waliofanikiwa ktk interview hiyo?
2.walichukua wanganpi?
mwenye kufahamu anisaidie wana janvi.