Kuitwa kwenye interview MSD

Hii site ya Indiabix mwalimu wetu wa c programming first year maswali yote alikuwa anatoa mule. Umenikumbusha mbali aisee.
 
Inachukua muda gan tang kufanya written to oral to confirmation !? Isije ikawa ile ya nhif mpaka leo majib hamna
Kama nilivyokwisha kusema MSD ni organization makini sana, Inafanya mambo yake kwa weledi kwakweli, Maana mimi niliomba kusogeza interview ya oral wakanielewa, pia Ku-report kazini for training nikaomba wakanisaidia pia, na Simjui mtu hukoo, In short Mkuu Ni almost Mwezi na wiki ivi tu Mkuu, mfano mimi na wengine tuliofanya Written tareh 29 April and May 9 nikapokea ujumbe na
kupigiwa simu kuwa May 11 Niende for Oral interview. However mimi ilibidi niwaombe tu kuwa isingewezekana nikaomba kufanyiwa tarehe 12(siku moja mbele) wakanikubalia. So ni kama wiki tu ndugu yangu tarehe 22 nikapigiwa simu yakuwa nimefanikiwa Oral, hii nilitumiwa na email ya yenye attachement ya Inerview succession letter.
 
Nashukur sana kwa ushirikianob wako, be blessed
Na hongera sana kwa kufaulu...ts a one step achievment
 
Kwa hiyo mmeshaanza kazi sio?Namaanisha zile post A software developers..
 
Mkuu, baada ya kufanya mtihani wao, walikuita kwenye oral interview after how many days. Maana mm nimefanya mtihani wao j4, hadi sasa naona kimya. Ww ulisubiri kwa mda gani
 
Umeamua kuacha Tanesco Mwanza??
 
Mkuu, baada ya kufanya mtihani wao, walikuita kwenye oral interview after how many days. Maana mm nimefanya mtihani wao j4, hadi sasa naona kimya. Ww ulisubiri kwa mda gani
Piga landline yao mana ua hayachukui muda kutoka, its less than 3days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…