Wakuu nilifanya interview mwezi wa saba mwishoni (Academic posts) pale UDOM. Ila naona kimya mpaka leo, je wameshaita kazini?
Nani ana taarifa juu ya hili anisaidie.
Wakuu nilifanya interview mwezi wa saba mwishoni (Academic posts) pale UDOM. Ila naona kimya mpaka leo, je wameshaita kazini?
Nani ana taarifa juu ya hili anisaidie.
Wakuu nilifanya interview mwezi wa saba mwishoni (Academic posts) pale UDOM. Ila naona kimya mpaka leo, je wameshaita kazini? Nani ana taarifa juu ya hili anisaidie.
Bado mzee, si uliulizwa utakuwa tayari mwezi wa ngapi kufanya kazi na ukajibu September, kwa hiyo utaitwa hivi karibuni. Nami nilifanya wakati huo huo na nimeambiwa tutaitwa September.
Kama ni hivyo safi sana Mfwalamanyambi, naona week inaweza isiishe tutaitwa UDOM. Ingawa nilisikia week ijayo wanaanza interview (Non Academic posts) sijui lipi ni la ukweli sasa
Kama ni hivyo safi sana Mfwalamanyambi, naona week inaweza isiishe tutaitwa UDOM. Ingawa nilisikia week ijayo wanaanza interview (Non Academic posts) sijui lipi ni la ukweli sasa
UDOM wanakwenda kwa mfumo wa WHO knows WHO! So usijipe hope sana lolote laweza kutokea unless ni mpango wa Mungu uwe pale then utaitwa, coz mfumo wao hauwezi kushidana na uweza wa Mungu.