Kuitwa kazini UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kazini UDOM

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ejoki, Sep 6, 2011.

 1. e

  ejoki Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakuu nilifanya interview mwezi wa saba mwishoni (Academic posts) pale UDOM. Ila naona kimya mpaka leo, je wameshaita kazini?
  Nani ana taarifa juu ya hili anisaidie.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Watu wamesha ripoti long time
  We ulidondokea pua ndo maana unaona kimyaa
   
 3. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  mkuu kweli watu wameshaanza na wameanza lini?kama kweli hii ajira ni noma mzee
   
 4. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Bado mzee, si uliulizwa utakuwa tayari mwezi wa ngapi kufanya kazi na ukajibu September, kwa hiyo utaitwa hivi karibuni. Nami nilifanya wakati huo huo na nimeambiwa tutaitwa September.
   
 5. e

  ejoki Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama ni hivyo safi sana Mfwalamanyambi, naona week inaweza isiishe tutaitwa UDOM. Ingawa nilisikia week ijayo wanaanza interview (Non Academic posts) sijui lipi ni la ukweli sasa
   
 6. mankipe

  mankipe Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  <br />
  <br />
  cjakusoma kwani non academic post washaita???
   
 7. Davis

  Davis Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  UDOM wanakwenda kwa mfumo wa WHO knows WHO! So usijipe hope sana lolote laweza kutokea unless ni mpango wa Mungu uwe pale then utaitwa, coz mfumo wao hauwezi kushidana na uweza wa Mungu.
   
 8. e

  ejoki Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Non Academic posts hawajaita bado ila wadadisi wa mambo wanasema siku si nyingi wataanza kuita
   
 9. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kuitwa interview siyo? Mimi pia nilisikia kutoka source ya uhakika next week wataanza kuita.So get prepared!
   
 10. e

  ejoki Member

  #10
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndiyo kuitwa kwenye interview
   
 11. mankipe

  mankipe Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  <br />
  <br />
  Thanx mzazi. pamoja sana
   
Loading...