SmAlL pDiDy. jr
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 392
- 133
yeyote mwenye kujua plzAtakaeitwa TRA alete mrejesho ili tujue kuwa zoez limekwisha tuendeleze mapambano kivingine
Wadau hakuna habari zozote hapa?
au mmeshaitwa....
Kuna tetesi kwamba baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kodi wameandika barua ya kulalamika kwamba usaili haukua fair!!!Wadau wa TRA kimyaaaaa kila kona NSSF ndo habari ya mujini.
Kuna tetesi kwamba baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kodi wameandika barua ya kulalamika kwamba usaili haukua fair!!!
Moja ya sababu ni mtihani kufanyika awamu mbili......
Huyo 3D muongo hakuna cha barua tetesi hali ya kifedha siyo nzuri ila any time wataanza kuita.