Kuitwa kazini-PCCB

Kuitwa kazini-PCCB

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
2,089
Reaction score
829
Kufuatia usaili (Oral Interview) uliofanyika kati ya tarehe 03/02/2014 – 14/03/2014 TAKUKURU Makao Makuu kwa watahiniwa walioomba nafasi za Afisa Uchunguzi daraja la pili na wachunguzi Wasaidizi, yafuatayo ni matokeo ya usaili huo:

  1. Investigation Officers
Assistant Investigations Officers
http://www.pccb.go.tz/images/stories/adverts/assistant_investigation_officers.pdf

ju
CALL FOR EMPLOYMENT - INVESTIGATION OFFICERS
TRAINING: INTAKE II DATE: 04/08/2014 - 31/10/2014
REPORTING DATE: 30/07/2014
PLACE: KIDATU POLICE OFFICERS COLLEGE
FURTHER INFORMATION:
We have sent you "a call for employment letter" through your
respective postal addresses. Note that only successful candidates are contacted
mzigo mzima huu hapa
 
CALL FOR EMPLOYMENT - INVESTIGATION OFFICERS
TRAINING: INTAKE I
DATE: 28/04/2014 - 25/07/2014

REPORTING DATE: 24/04/2014
PLACE: KIDATU POLICE OFFICERS COLLEGE, KILOMBERO - MOROGORO
FURTHER INFORMATION:
We have sent you "a call for employment letter" through your
respective postal addresses. Note that only successful candidates are contacted
 
CALL FOR EMPLOYMENT - INVESTIGATION OFFICERS
TRAINING: INTAKE II DATE: 04/08/2014 - 31/10/2014
REPORTING DATE: 30/07/2014
PLACE: KIDATU POLICE OFFICERS COLLEGE
FURTHER INFORMATION:
We have sent you "a call for employment letter" through your
respective postal addresses. Note that only successful candidates are contacted
 
Hongereni mlio bahatika kuitwa kuanza kazi,
mkawe watumishi mnaotambua mlikotoka,
tabia za kunyanyua mabega na kusahau mlikotoka ni chozi kwa mtakaowatumikia na litazaa laana baina yenu,
mkawe kioo kwa wenye majivuno na kufikiri wapo hapo kwa kujinufaisha wao na uzao wao!
 
new.gif

Kufuatia usaili (Oral Interview) uliofanyika kati ya tarehe 03/02/2014 – 14/03/2014 TAKUKURU Makao Makuu kwa watahiniwa walioomba nafasi za Afisa Uchunguzi daraja la pili na wachunguzi Wasaidizi, yafuatayo ni matokeo ya usaili huo:

  1. Investigation Officers
http://www.pccb.go.tz/images/stories/adverts/TANGAZO%20-%20WALIOITWA%20KAZINI.pdf
Assistant Investigations Officers
http://www.pccb.go.tz/images/stories/adverts/assistant_investigation_officers.pdf

wanajamvi kuna tatizo la rushwa napo hapo pccb ukiangalia majina security guard utaona kuna watu wameongezwa kama jina EMMANUEL CHARLES SIZYA hayupo kwenye orodha ya walioitwa interview na hayupo kwenye orodha ya waliofaulu aptutate test ila anapatikana kwenye orodha ya walioitwa kazini hii sio haki
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
 
Mungu wangu mkuu,uliye juu katika kiti cha enzi,nasema asante kwakuwa maombi yangu umeyasikia,umekuwa muaminifu kwangu nami nitakuwa muaminifu kwako kwa kutenda mema!,asante kwa zawadi hii ya kazi uliyonipa,nakuomba uwajaalie hata wale wasiofanikiwa milango yao pia ifunguke!
 
Nasema asante mungu wa Ibrahim ,wa Isaka na Yakobo.ameen
 
Wadau tujuzane kwa anayefahamu kiwango cha mshahara upande wa investigation officer! Nashukuru mungu nimepata kazi nipo kitaa toka 2011! Mungu mkubwa amejibu maombi yangu:smiling:
 
wadau tujuzane kwa anayefahamu kiwango cha mshahara upande wa investigation officer! Nashukuru mungu nimepata kazi nipo kitaa toka 2011! Mungu mkubwa amejibu maombi yangu:smiling:

kapige depo kwanza. Vijana wa kileo ni kufikiri mishahara tu
 
Aisee me mwenyewe na swali hilo hilo hao office attendant vp
 
Samahan naomba anaeweza kuweka majina ya assistant investigation officer anisaidie. Huku kwetu umeme hakuna, na natumia kasimu kamchina hakawezi kufungua pdf. Natanguliza shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom