Kwa aliefanya ile interview nadhani anafahamu jinsi gani majibu yalivyokua yanapatikana,ule mtihani ulikua na sehemu tatu,kila unapomaliza kufanya sehemu moja ukisev majibu ya hiyo sehemu uliyofanya unayapata on the spot,ila bado hatujui kwamba wenyewe wanataka upate wastani wa ngapi mana ukimaliza kufanya maswali yote wanakuonyesha marks zako then unaambiwa utapigiwa simu.