G_Host Member Joined Aug 24, 2017 Posts 16 Reaction score 3 Oct 23, 2017 #1 Habari wandugu, Mm nimeitwa kwenye aptitude test BOT katika post ya Business analysts. Naomba wale wenye uzoefu na hizi test wanipe angalizo zinakuaje ili niweze kujiandaa kikamilifu. Asanteni Mungu awabariki[emoji120]
Habari wandugu, Mm nimeitwa kwenye aptitude test BOT katika post ya Business analysts. Naomba wale wenye uzoefu na hizi test wanipe angalizo zinakuaje ili niweze kujiandaa kikamilifu. Asanteni Mungu awabariki[emoji120]
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,072 Reaction score 16,628 Oct 23, 2017 #2 huwa ni hesabu, english na siasa,
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,043 Oct 23, 2017 #3 Anza kujikumbusha financial analysis ya ratio zote bila kusahau micro¯oeconomics
G_Host Member Joined Aug 24, 2017 Posts 16 Reaction score 3 Oct 24, 2017 Thread starter #4 mwekundu said: Anza kujikumbusha financial analysis ya ratio zote bila kusahau micro¯oeconomics Click to expand... Mkuu hii ni business analyst in IT industry, sidhani kama hayo maswali watatoa kama test.
mwekundu said: Anza kujikumbusha financial analysis ya ratio zote bila kusahau micro¯oeconomics Click to expand... Mkuu hii ni business analyst in IT industry, sidhani kama hayo maswali watatoa kama test.
Hae Mo-Su JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 474 Reaction score 1,014 Oct 24, 2017 #5 mwekundu said: Anza kujikumbusha financial analysis ya ratio zote bila kusahau micro¯oeconomics Click to expand... hiyo ni IT Swahiba
mwekundu said: Anza kujikumbusha financial analysis ya ratio zote bila kusahau micro¯oeconomics Click to expand... hiyo ni IT Swahiba